Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
"Juzi (Jumatatu Januari 27, 2025) ilikuwa nizungumze kama mtendaji mkuu nieleze katika kuingia huku upya katika uongozi kama Katibu Mkuu ni mambo gani ningeyapa kipaumbele kama Katibu Mkuu lakini vilevile ilikuwa niwatangazie watanzania juu ya ujio wa Mwenyekiti, sasa watawala wakaingiwa hofu kwamba pengine hotuba zetu zinaweza kufunika mkutano ulikuwa unaendelea (Mkutano wa Nishati Afrika) na wakatuma polisi kuzuia Press Conference.
""Kitu ambacho kilitokea na wanahabari mkazuiwa kufanya kazi yenu ya habari. Katika mazingira yoyote katika taifa lolote hata katikati ya vita wanahabari wanatimizwa wajibu wao wa habari lakini katika Tanzania ya leo vyombo vya habari vilizuiwa hapa na mlizuiwa kufanya kazi yenu"
Pia soma