Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika, ameanika namba ya Spika hadharani ili ahojiwe moja kwa moja na Wananchi kwa kukataa kutii sheria inayomtaka awaondoe bungeni watu 19 waliofukuzwa uanachama CHADEMA, al maaruf Covid 19.
Amesema maelezo ya CCM kupitia Kinana kwamba watu hawa wanasubiri kesi iliyopo mahakamani ni uongo, hakuna kesi mahakamani
Post script: Jamiiforums, bahati mbaya, wameondoa namba ya simu ya spika na video clip ya speech ya Mnyika aliyoitoa kwenye viwanja vya wazi; again, aliye chicken out ni Jamiiforums.