CHADEMa inahitaji katibu mkuu aliyetahiliwa polini na mwenyekiti aliyetahiliwa poliniangalau mapendezo yako yana tija π
alie tahiliwaβοΈCHADEMa inahitaji katibu mkuu aliyetahiliwa polini na mwenyekiti aliyetahiliwa polini
Hawa hapa
Mwenyekiti LISU
Katibu JOHN heche
Zingatia drSLaa(mbulu huyu hua siamini kama alipitia tohara ya ganzi)
Ccm ili ijitulize inahitaji kutulizwa
Nafasi ya uwakilishi, mathalani udiwani n.k inamfaa zaidi kuliko pale alipo sasa, halafu mbaya zaidi kuna uwezekano mkubwa akatoswa baada ya uchaguzi ndani ya chadema kumalizika baadae mwaka huu.
Kuliko kusubiri fedheha hiyo itakayo muathiri kisiasa, Busara imuelekeze kuachia ngazi kulinda heshima, hadhi na umarufu kidogo sana aliojipatia akiwa kwenye nafasi hiyo nyeti ya chama. aachie ngazi apate fursa ya kujipanga kuomba nafasi za uwakilishi hususani udiwani, na atabaki akiheshimika zaidi...
Kwakweli katibu mkuu chadema ni mnyonge mno aliezongwa na kuzingirwa na wenye sauti na nguvu ya pesa ndani ya CHADEMA, si Mnyika yule wa escrow tena kadhibitiwa vizuri sana right left and center na macatels ndani ya chama, hafurukuti bana, kapoaaa.
Ni katibu mkuu mwepesi mno, hana vibe tena, wala hamasa au haiba ya ukatibu mkuu, hana misuli, wala meno ya kimamlaka ndani ya chadema, utendaji wake umepoa mno, uko limited na unatambulika na kuheshimika kwa uchache sana ndani na nje chadema hususani kwenye matukio ya shari tu.
Ni kama vile kafungwa mikono na kuzubwa mdomo kisiasa, hawezi kung"aka wala kumbwekea yeyote ndani ya CHADEMA ila yeye anabwekewa sana kwamba hatoshi na hana ubavu pale CHADEMA.
Kadhibitiwa vizuri na waandamizi wenye nafasi nyingine ndani ya chadema, hafurukuti kabisaa, unaweza kusema naibu wake ndie ana nguvu, sauti uthubutu na ushawishi zaidi yake.
Katibu Mkuu wa CHADEMA ni mpweke sana ndrugu na kaka yangu John Mnyika. wema, woga na ustaarabu wake nadhani umezidi kiwango cha ukatibu mkuu, umemfanya awe si lolote si chochote CHADEMA. Awepo CHADEMA sawa, asipokuwepo nayo sawa. hana mipango, si mbunifu, si mjenga hoja tena Mnyika. yawezekana amekua mtu mzima, but amekua vibaya.
Nadhani aliililia nafasi ya ukatibu mkuu angali bado kijana mdogo, Lakini akiwa na matarajio makubwa na matokeo yake akakuta hali ni ndivyo sivyo. nadhani ameshindwa kabisaa kutengeneza chemistry na viongozi wengine waandamizi ndani ya chama, kitu ambacho kimemfanya awe mpweke mpaka sasa.
Akiacha ngazi sasa kwa heshima, huenda akawa na historia tukuka sana kwenye siasa za vyama na akaja kua kiongozi mwandamizi wa kisiasa mwenye nguvu na heshima sana huko mbeleni.
Kama kijana mtaalamu na mbobevu wa masuala haya ya siasa za Tanzania na hususani ndani ya chadema, namshauri kwa heshima, mungwana huyu rafiki yangu John J. Mnyika aachie ngazi mapema iwezekanavyo kadiri anavyoona inafaa.
Soma Pia:
- Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika yuko wapi?
- Tetesi: - Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika asusa kuendelea na kazi
Nafasi za uwakilishi mathalani udiwani zinamfaa zaidi, kuliko kuliko anachokifanya sasa hivi na hana sababu hata moja kusubiri kutoswa ndani ya chama chake wakati uchaguzi mkuu ukiwa umekwisha.
na kutoswa kwake kupo nje nje sana CHADEMA.
Ni muhimu kuamua na kuchukua hatua sasa, na kama sio sasa ni sasa hivi π
Mungu Ibariki Tanzania
hizi ndizo miongoni mwa kazi na majukumu mazito na muhimu sana ya kibobevu kwa wanasiasa na wanadiplomasia waandamizi makini kama mimi...Mwana CCM yaani vijana hamna kazi masikini kazi ni kama hizi za uchawa! tutafika kweli kwa vijana kurubuniwa na kufanywa machawa hivi
sifahamu na sina hakika na usemacho,Yaan mmetuma POLISI wampige kisha mnataka achangamke CCM bwana.
We waswma hatuwezi mchagua katibu mkuu kisha tumfunge mikono sijui mdomo na upuuzi unaosema.sifahamu na sina hakika na usemacho,
but mapendekezo, ushauri na nasaha zangu kibobevu kisiasa nadhani ni wakati muafaka na muhimu sana kwa kijana kung'atuka ukatibu mkuu na kutafuta changamoto nyingine mpya kisiasa kuliko kung'ang'ana hapo aliko ambako sio vibrant tena, sio energetic tena kama ambavyo yuko kwasabb ya kuwa tied miguu, mikono na mdomo na cartels ndani ya chadema π
hizi ndizo miongoni mwa kazi na majukumu mazito na muhimu sana ya kibobevu kwa wanasiasa na wanadiplomasia waandamizi makini kama mimi...
nashauri na kupendekeza mambo ambayo yana mustakabali muhimu sana wa wanasiasa vijana wa Taifa hili muhimu sana la Tanzania π
I can confirm to you without fear of contradictions kwamba kwa John Myika kua relevant katika political platforms he must resign from the position he hold as it now,Hawezi acha ukatibu mkuu wa chama,maana hakuna mchaga mwingine ambaye yupo tayari kuwa Katibu mkuu kwa sasa
Wewe kupwaya kwake kunakuhusu nini?Akiacha ngazi sasa kwa heshima, huenda akawa na historia tukuka sana kwenye siasa za vyama na akaja kua kiongozi mwandamizi wa kisiasa mwenye nguvu na heshima sana huko mbeleni.
kama mtaalamu mbobevu katika siasa na diplomasia, nina ona mengi nina fanya tafiti nyingi, ninafahamu mambo mengi ya ndani na nje ya vyama vya siasa nchini...Wewe kupwaya kwake kunakuhusu nini?
Umemsahau Nchimbiππsi umeona kamyika kamenywea na kulowana utadhani kanyeshewa mvua, katibu mkuu gani wa chama yuko vile sasa π€£
relax gentleman,Yaani ubobezi gani wa kuishia kuwa Chawa. Kama ni mwana dipolasia tungeona hapa unafanya mpango kwa vijana wetu kuweza kupata kazi kwa njia za mitandao kama kule India , kutuletea wawekezaji na wamiliki wakubwa waje kuanzisha data centers hapa nchini watu kama Bill gates, Musk na Larry Ellison wa Oracle. wewe unafikiri uchawa ni kusaidia vijana. Unasaidi vipi vijana zaidi ya kufikiria tumbo lako. Na kama wewe ni mbobezi ndiyo sababu kubwa kwanini sisi ni masikini na nawashauri vijana wasiwaige hawa viongozi wa sasa ambao wanajifikiria wenyewe na matumbo yao tu. Mnataka kura tu za vijana hakuna nia yeyote zaidi ya kujifikiria wenyewe.