John Mnyika mgeni rasmi Nungwi Super Cup

CHADEMA

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
490
Reaction score
2,471
Jana Agosti 27, 2023 Katibu Mkuu wa Chama Mhe. John Mnyika amekuwa mgeni rasmi katika fainali ya mashindano ya mpira mguu ya Nungwi Super Cup yaliyoandaliwa na Chadema Zanzibar ndani ya jimbo la Nungwi.

Katika mashindano hayo timu 11 zilishindana na baadae timu mbili kuingia fainali, Kiungani na Mjini Kati.

Timu ya Nungwi ikaibuka mshindi wa Nungwi Super Cup 2023.

 
Mungu Ibariki CHADEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…