Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Chadema moja ya kiongozi waliyofanikiwa kupata ni pamoja na katibu Mkuu. Alipoondoka Dr. Slaa watu walihoji kama Mrithi wake anaweza akavaa viatu vyake.
Nimeona namna alivyosimama neutral kwenye uchaguzi na jinsi anavyoratibu uchaguzi bila kusahau anavyoweza kujibu hoja zinazoelezwa ofisini kwake, itoshe kusema ni kiongozi mwenye maono na hekima lakini pia anayefahamu umuhimu wa taasisi anayoiongoza.
Wapo makatibu wakuu wa baadhi ya vyama wasingeweza kuvumilia Mwenyekiti wa chama akosolewe adharani.
Wapo makatibu wakuu ambao wapo kwa ajili ya kuongozwa siyo kuongozwa. Taifa linahitaji watu kama Mnyika ambao siyo wanafiki na wanao uvumilivu na utimamu wa nafsi.