johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
CHADEMA ingeweka utaratibu hawa viongozi wa kuteuliwa wanaolipwa mshahara Uongozi unapobadilika wabakie walau kwa miezi 6 kabla ya kuwaondoa
Fikiria mtu kama Mrema au Kigaila wataishije mtaani bila KAZI kama walivyozoea?
Kiukweli inasikitisha 🐼
Fikiria mtu kama Mrema au Kigaila wataishije mtaani bila KAZI kama walivyozoea?
Kiukweli inasikitisha 🐼