johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kazi ni nini?CHADEMA ingeweka utaratibu hawa viongozi wa kuteuliwa wanaolipwa mshahara Uongozi unapobadilika wabakie walau kwa miezi 6 kabla ya kuwaondoa
Fikiria mtu kama Mrema au Kigaila wataishije mtaani bila KAZI kama walivyozoea?
Kiukweli inasikitisha 🐼
Ni ile ya Mikono Yako ambayo Mungu wa mbinguni ataibarikiKazi ni nini?
Kwahiyo hao Kigaira na Mrema ni walemavu?Ni ile ya Mikono Yako ambayo Mungu wa mbinguni ataibariki
Una mawazo mgando kweli kweli wewe bado unaishi kwenye ulimwengu wa kuajiriwa? Hapo ilokuwa sehemu ya kujisitiri tu kama hawakuwa na mipango mingine shauri yao,after all wamepiga sana ruzuku sasa kama walikuwa wanalewea na kuvulia chupi watajibeba. Na isitoshe hao wake zao ni wabunge wale covid 19 hivi karibuni watapewa kiinua mgongo chao karibia M 400 bado unawaonea huruma.CHADEMA ingeweka utaratibu hawa viongozi wa kuteuliwa wanaolipwa mshahara Uongozi unapobadilika wabakie walau kwa miezi 6 kabla ya kuwaondoa
Fikiria mtu kama Mrema au Kigaila wataishije mtaani bila KAZI kama walivyozoea?
Kiukweli inasikitisha 🐼
Kamdomo ,kamdomoCHADEMA ingeweka utaratibu hawa viongozi wa kuteuliwa wanaolipwa mshahara Uongozi unapobadilika wabakie walau kwa miezi 6 kabla ya kuwaondoa
Fikiria mtu kama Mrema au Kigaila wataishije mtaani bila KAZI kama walivyozoea?
Kiukweli inasikitisha 🐼