John Munisi Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai, aliyepewa kesi ya ubakaji Hai afanya Misa ya Shukrani

Nonsense utafikiri kaandika mwanangu wa chekechekea asiyejua kitu
 
Katili yule kateua kanda ya ziwa kwenye post za juu.kawalibda makatili wenzie sabaya na bashite,kafungia magazeti yaliyomkosoa,kafunga wafanyabiashara ambao hawakunsuporti ,kataka kumuua tundu lissu,kamfilisi mbowe,katubomolea nyumba mbezi kenge yule,kamuua ben saa nane kwa mkono wake,kamuua azory gwanda mbwa yule,miradi ya maendeleo yote kapeleka kwao kima yule,
 
Mimi sina chama wala sio mchaga ila sipendi uonevu ,hakuna tofauti ya hitler na magufuli
 
Adai fidia kwa maumivu ya kusota jela na fedheha mbele ya jamii.
 
Duh! Mkuu una hasira!!!! Pole sana.
 
Ukienda ibada za wachhaga hasa vijijini utacheka maombi yao ya misa , dah!! ila mapadri wa vijijini moshi !!! Loh!! Unasoma hadharani maombi ya namna ile ! kisa Mungu wangu tuepushe na uzuzu wa kufikiri eti nimeomba misa 7
 
Sio kweli. Hapo kwenye uteuzi Magufuli alikua fair tu sema wachaga wao kwenye kila uteuzi hua mnataka zaidi ya nusu wawe wachaga.

Alimteua Diwani kua mkuu wa TISS ama Diwani sio wa kaskazini?

Wafanyabishara gani walifungwa kwa kuonewa? Manji ni mwizi, Ruge na Sethi walikwepa kodi. Hilo liko wazi.

Mbowe hakua analipa kodi ya pango pale bills.

Mbezi mlivamia eneo la barabara, mlitaka mlipwe kuvamia road reserve? Mna akili kweli?

Kanda ya ziwa inachangia 26% ya pato la taifa unataka apeleke miradi ambako Pwani ambako wanazalisha nazi tu? Hata ungekua wewe usingefanya huo ujinga.
 
Pumbavu yule mwizi kwanza
 
Ujumbe muhimu ni kuwa tulikuwa na utawala dhalimu. Mimi siamini kama marehemu alikuwa sawasawa wakati wote, maana kuna mambo alikuwa anafanya ambayo hata kiongozi katili, kama ana akili timamu hawezi kufanya.
 
Tatizo la chadema ni kuamini serikali inawatengenezea matukio na wala hawaamini kama hata Sabaya kwa sasa anatengenezewa matukio,yaani eti chadema hua ni Malaika wasio na dhambi

Wachaga mna matatizo sana tena makubwa na yasiyo hata na maana yoyote
Kilicho dhahiri, utawala wa awamu ya 5 ulikuwa wa kishetani. Mungu aliunyima baraka kwa sababu hashikanishwi na ibilisi. Utawala ukashindwa kwenye nyanja zote - uchumi, uhusiano wa kimataifa, umoja wa kitaifa, demokrasia, n.k. Kila eneo, vigezo vinaonesha tulianguka.
 
Ujumbe muhimu ni kuwa tulikuwa na utawala dhalimu. Mimi siamini kama marehemu alikuwa sawasawa wakati wote, maana kuna mambo alikuwa anafanya ambayo hata kiongozi katili, kama ana akili timamu hawezi kufanya.
Mambo gani hayo mkuu?
 
Kwa haya majibu yako, kumbe wewe siyo mzima. Unaweza kuchangia kama mtu mwenye uelewa badala ya ushabiki?

Wengi wanaomkosoa marehemu, siyo watu wa Kaskazini, wala siyo wachaga, umekazania hoja ya kijinga ya uchaga na ukaskazini.
 
Kwa haya majibu yako, kumbe wewe siyo mzima. Unaweza kuchangia kama mtu mwenye uelewa badala ya ushabiki?

Wengi wanaomkosoa marehemu, siyo watu wa Kaskazini, wala siyo wachaga, umekazania hoja ya kijinga ya uchaga na ukaskazini.
Wengi hao ni wapi? Ulifanya sensa ya hao watu ukajua wanatoka wapi?

Kuhusu nilichokisema niko sahihi. Mbowe aliliongea hili kwenye kikao huko kaskazini na ndio wanaolipigia chapuo.

Mwisho, mimi ni mzima sana tu.
 
Inabidi adai fidia asee
 
Hivi tutafanyaje ili mgawanyiko huu uweze kuisha?
Pengine angetokea mtu au taasisi kukafanyika utafiti objective kuhusu awamu ya tano. Kwa nini lawama ni nyingi hivi na haziishi japo mtu kashaenda zake. Asilimia kubwa ya wachangiaji kuhusu awamu ile humu JF wanalaani utawala ule. Je, hili la kupuuza na kusingizia vitu kama ukabila, uchama nk? Mbona hata watu wa ccm walidukuliwa wakasikika wakimwita mtu yule mshamba. Je, walikuwa wachagga? Hata kama walitubu, si kwamba ilikuwa " funika kombe mwaharamu apite?"
 
Hata Pendo Peneza msuya! Walikosa kabisa mwanamke geita nzima wakaweka huyo dada kisa anaasili ya huko hawa pumbavu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…