John Munisi Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai, aliyepewa kesi ya ubakaji Hai afanya Misa ya Shukrani

Wewe unapanga bidhaa barabarani siyo na unaona ni maendeleo tu
 
Mungu ashukuriwe na amlaze peponi mtu aliyegundua elimu ya DNA.
Inasemekana wengi huko usa walitumikia kunyongwa au hukumu ya maisha teknolojia ya dna ilipokuja iliwaondoa Katika hatia .
Mama amesema hataki kesi za kubambikiza Au kodi ya kudhulumu , demokrasia imefunguka sasa
 
Vijana wa chadema uongo hautawasaidia kumsingizia Magufuli kila kitu.

Kiongozi Mkuu ndie wapendwa wake (WATEULE)wanatuhumiwa kutesa ama kufanya uhalifu huo ni kweli alihusika hakuna uongo hapo.

 
Kweli wewe ni hakimu mfawidhi wa John Pombe maana huelewi unachobisha. Huyo dikteta muuaji aliyekufa kwa KOLONA ameumiza sana watu. Huko aliko atakuwa anapigwa mangumi na hao malaika wake.
 
Huyo Mungu atakua hana kazi nyingine za kufanya hadi afikirie kuibariki chadema? Mungu afikirie kubariki chama cha kikabila, huyo Mungu ama kibwengo?
Mungu huyohuyo unayemwita kibwengo ndo aliwaokoa watanzania kwa kulipiga limbuyu chini pwaaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…