Justin Dimee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,146
- 248
Hawaa vijana mi huwa nikiwaangaliaga namaswali swali yao yale ambayo hayana mantik yeyote huwa nachoka kweli ndipo naona usijione ufahari kujichoresha kwenye matv wakati, kichwani hakuna kitu mnafuatiliaga tinga number moja kwa vijana eatv mkasi show nazani hawa majama mna waonaga.
Ushauri waende course kidogo ama wa mwachie salama afanye yake maana wanauliza maswali kama watoto walasaba?
Ushauri waende course kidogo ama wa mwachie salama afanye yake maana wanauliza maswali kama watoto walasaba?