Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
John Nchimbi Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Mbeya amesema katika jiji hilo, hakuta kuwa na mwanafunzi atakayekaa chini kwa kukosa madawati baada ya miaka mitatu.
"Tunataka Mbeya iwe ya mfano kwenye Miradi ya Elimu, kwa Mapato ya ndani tuliyonayo tunakuhakikishia kuwa hakuna mtoto ambaye atakaa chini ndani ya Halmashauri ya jiji la Mbeya "