Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Ukisoma historia ya john okello ni mtu aliyezaliwa mazingira ya kimaskin kama ilivyo kwa jamii nyingi za ki-afrika za kipindi kile
wapigania uhuru wengi wa kiafrika kama nyerere, jomo kenyatta n.k walisoma mpaka ulaya kwa maana nyingine walipata exposure kubwa sana kabla hawajaanza kufanya harakati za uhuru
John okello hakuenda ulaya kusoma, hakuwa na elimu yeyote kubwa sababu hata chuo kikuu hakufika na hakuwahi kuwa hata mwanajeshi lakin alikua ni mtu mwenye ndoto kubwa sana na alikua mpambanaji haswa
Cha kusikitisha historia yake haiongelewi sana mfano mapinduzi ya zanzibar anaongelewa karume ambaye hata hakushiriki sababu usiku wa tisa kuamkia tarehe 12 januar 1964 karume alikua dar na nyerere kwa lugha nyingine hakushiriki
John Okello ndo mastermind wa mapinduzi ali-orgainize watu wa kawaida ambao wengi wao walikua maskini akawajaza ujasiri ndo wakafanya mapinduzi kote huku abeid karume hakushiriki hata sehemu moja
Kosa alilofanya okello ni kuwa loyal kwa karume ambaye baadae alimpotezea katika mtu nayemchukia kwenye historia basi ni abeid karume ni mtu ambaye amechukua umaarufu kwa jasho la watu wengine
karume alikua dhaifu sana ndo maana baada ya zanzibar kupata uhuru wa mtu mweusi january 12 1964 sababu mwarabu alipewa uhuru dec 10 1963 akauza uhuru kwa Tanganyika kwake yeye ilikua rahisi sana kwa sababu sio kitu alichokipigania; kwenye maisha jambo ambalo hukulipigania huwezi ona uchungu wake