John Singleton, Much respect

TUPACified

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Posts
1,367
Reaction score
604
John Singleton Drops Out Of The Tupac Biopic Because He Says People Weren't Respectful Of Tupac's Legacy.


Real talk! The reason I am not making this picture is because the people involved aren't really respectful of the legacy of Tupac Amaru Shakur. I won't say much if you want you can read my articles in Hollywood Reporter on authenticity in Black Storytelling ... To Pac's real fans just know I am still planning a movie on Tupac ... It doesn't matter what they do mines will be better... Tupac was much more than a hip hop artist ... He was a black man guided by his passions ... Of most importance was his love of black people and culture ... Something the people involved in this movie know nothing about... Real talk! How you gonna make a movie about a man when you suing his mother to get the rights to tell his story?! They have no true love 4 Pac so this movie will not be made with love! And that's why my ass isn't involved ! If Tupac knew what was going on he'd ride on all these fools and take it to the streets... But I won't do that ... I'll just make my own project. What Yall think about that?!!

“People always idolize 'Pac, but he was really just a brilliant yet confused young kid with a lot of fame,” he told Essence. “He had nothing to ground him, no father. He had no one to tell him ‘no’ or ‘just sit down.’ But when you did tell him something, he’d respect you. Right before he passed we just started talking again.”

“I saw him a week an a half before he went to Las Vegas and I told him I’m working on a new movie [Baby Boy, 2001] and I told him that this will be the movie that will get him an Oscar. He said, ‘Anything you want I’m there.’ He was going to be my Robert DeNiro. We were going to grow together. When you see Baby Boy now, his presence and soul are still in that movie.”

Source: John Singleton Drops Out Of The Tupac Biopic Because He Says People Weren't Respectful Of Tupac's Legacy


Carl Franklin ndio kachukua mikoba. Hii movie nilijua tu itakuwa ya kizushi
 
Huwa nasema daily, if Pac stayed alive and outta trouble, leo tungekuwa tunamuangalia yeye kwenye Fast & Furious akicheza role ya Roman. Now John is backing me up, Sema haikupangwa kutokea kamwe.
 
The black Robert De Nero

Picture that.
Shame it was never going to happen. Been almost 20yrs now since they killed him, but here they are still fighting him. That's just another proof that, Pac's death wasn't gang nor rap violence.

I'll be waiting for John's movie, if he too, doesn't die mysteriously b4 it's even started.
 
Ndio maana kwenye baby boy Tyres anaonekana mara nyingi kucheki picha za tupac! Hata the way alivyocheza mule ni kama kacheza tupac tu!..huyu john ni director mzuri sana!.. movie ya ma black akiongoza huyu jamaa unapata real life ya watu weusi. Cheki poetic justice, boyz n the hood na higher learning!..hicho anachotaka kufanya sasa si cha kukosa kukitazama...cant wait!
 
Bonge ya mtunzi na mwandishi pia, 'Poetic Justice' na 'Boyz n the hood' alitunga na kuandika mwenyewe. Watu kama Cube, Tyrese na wengine kadhaa, ye ndio aliwapa nafasi za kwanza kubwa za kuonyesha uwezo wao. Nadhani katika waongoza filamu weusi wa level ya juu, tunae yeye na F Gary Grey tu.

Movie ya Tupac anayotaka kuifanya, haitafanyika kamwe.
 

Ice cube alivyofuatwa kuigiza boyz n the hood aligoma na kudai hawezi!..jamaa akamuangaliaa na kumwambia unaweza! Cube akaona ngoja ajaribu! Kilichotokea ni historia na cube mpaka sasa kila akimkumbuka jamaa huwa haelewi hata aliona nini kutoka kwake!..lkn Usimwache na spike lee ni director wa level za singleton pia!..cheki do the right thing.. utaukubali utunzi wake
 
Spike MVP, nadhani nimewakumbuka hao wawili coz wako karibu sana na rap pia.
 
Ukifatilia kwa kina interviews za "Big Frank" utagundua kuwa alikuwa na kitu flani moyoni about Suge! Sisemi kuwa Suge plotted Pac's death but i believe Suge or his associates killed "Big Frank", kifo cha Big frank kipo Clear zaid kuliko cha Johnny J ingawa wote Waliuliwa, but Kwa Big ilikuwa ni clear zaidi, And kwangu mimi Kuna Mkono wa Suge kwenye kifo cha Big Frank, not so sure about Johnny J, but pia mnyamwez got killed si muda saana baada ya kutamka kuwa he got 30+ Pac's (unreleased joints), alifanya makosa kwa upande huo, na pia inasemekana bruv alikuwa na studio footage kibao za Pac, so kwenda Public na kusema kuwa ana ngoma kama 30 hiv za Pac na Kibaya zaid alikuwa kwenye process ya kuziachia zile ngoma! (Ilikuwa ni bad Move kutoka kwa mnyamwezi), Johnny J was killed kwa sababu hiyo, hakuwa na sababu ya kujiua, he had a Family na walikuwa nae bega kwa bega wakat yupo Jail, Johnny J and Big frank both of them got Killed, na siyo kama tunavyohaminishwa!

Big Frank kwenye moja ya interviews zake, (ntaiweka Link) anasema somehow anaweza kuunganisha matukio ya Baby lane wa Crips na Kifo Cha Pac, but hakubase sana huko, Big Frank anajua vitu vingi sana kuhusu Pac's death, kuna utata mkubwa sana umefunika kifo cha Pac, (ishu ya Pac kuuliwa na baby lane kutoka Crips huwa naikataa na nitaikataa mpaka kesho, coz ni Nadharia nyepesi sana)..inawezekana wakat wanaPlot kifo cha Pac waliamua kuitumia crips coz Pac alikuwa anahisiwa kuwa ni Bloods member ingawa Mwenyewe hajawahi kusema hilo wala Hakujawahi kuwa na uthibitisho UNLIKE kwa THE GAME ambaye anajulikana kuwa ni "member wa Bloods".but hii ishu ya Baby lane ni ndogo sana kwenye kifo cha Pac, Nadharia tu ndo zimezunguka kifo cha Pac, but naamini kuna MAKUBWA mengi sana katika kifo cha Pac,

Then kinachoumaga zaid, ni Nig's from East side ndo huwa wanajaribu kuharibu Legacy ya Pac, but kitu alichokiacha PAC ni kikubwa sana katika industry ya HIP-HOP kuua legacy yake will take years and years na Haitofanikiwa.

john yawezekana kapokea threats au kashauriwa akae pembeni, coz jamaa anajua vitu kibao vya Pac, na watu kibao ambao walikuwa karibu sana na Pac (ambao wamethubutu kuongea hadharani) wengi wamekufa, so me naona kafanya vyema kujitoa kwenye huo mduara, NA pia yawezekana kajitoa kwasababu anaona kazungukwa na watu ambao hawamjui vizuri Pac, na kama brother hatak kushiriki katika kuunaribu upande mzuri wa Pac as a Person!


Big frank's interview! ( unaweza ukaconnect dots)
http://sabotagetimes.com/music/tupacs-former-bodyguard-reveals-who-shot-the-rapper/
 
MosDef umefunguka vizuri sana brother. Kifo cha Pac kilipitishwa na Illuminati, baada ya Pac kuanza kuwaendea. At the time, serikali walikuwa wanamtamani, Po-Poz walikuwa wanamtamani, na baadhi ya celebs wakubwa weusi kama kina Eddie Murphy hawakuwa na raha na mchizi kwa sababu alikuwa anaongelea mambo yao na usaliti wao kwa culture. So Illuminati walivyotoa go-ahead, pande nyingi sana zilifurahi, especially serikali, ambapo kuliikuwa na tetesi Pac ana mpango wa kuanzisha political movements kwenda juu kabisa.


Big Suge was gonna lose Pac baada ya mkataba wao wa kihuni kuisha. Pac aliwahi kukiri kwa kinywa chake kuwa, japo alikuwa na mafanikio DR, hakuwa na furaha. DR katika mkataba wao na Pac, ilikuwa Pac atapewa chochote anachotaka, muda wowote, ila kazi zake mauzo yatasimamiwa na DR. Hapa ndio Suge akakubali kushiriki kuandaa mazingira ya kumuua Pac, coz hata bila yeye jamaa ilikuwa afe. Pia Suge alipewa ofa kwamba, baadhi ya uchunguzi wa kesi zake kubwa kibao ungepotezewa. So Big Suge hakumuua Pac, aliandaa mazingira yote, mpaka dogo Anderson. Big Frank alijua uhusikaji wa Suge, na hiyo ndio ilisababisha afe. Johnny pia ilikuwa order kutoka juu, japo Pac amekufa ila kaachwa vichwa vingi sana macho, na kadiri wanavyoendelea kumsililiza ndio wanakuwa hatari zaidi. Hii movie inayoendelea, ni moja ya plan za hao jamaa kuendelea kum-paint Pac vibaya ili tusimskilize. Ndio maana nina heshima za kutosha kwa John kukataa kushiriki.


East Coast wao issue yao moja, wana machungu Pac switched sides na kuwakilisha West. Mbaya zaidi, Pac alishawahi kukiri kwamba West ndio waliomfundisha game, sio East. Kitendo cha kupoteza mkali katika historia kiliwauma sana East Coast, wakampandisha Biggie na support ya kila aina, wakisaidiwa na serikali, média na maadui wote wa Pac ili tu Biggie achukue vichwa vya Pac, ila wapi. Big aliuwawa kwa kushindwa kufanya kazi aliyotumwa ya kumshusha Pac, he knew a lot too. Kama uliona interview yake ye na Diddy baada ya Pac kupigwa risasi mara ya kwanza alipoenda NY, Diddy looked scared and guilty as fcuk. Diddy kukaa kwake kimya, ndio unaona mafanikio aliyopata mpaka leo. Asilimia zaidi ya 80 ya watu maarufu wa NY, wanamkubali Pac kuliko Biggie, hawana tu ujasiri wa kukiri hadharani.


Na kama nilivyosema hapo awali, movie ya John Singleton anayotaka kuifanya kuhusu Pac, HAITAFANYIKA KAMWE.
 
Baada ya kifo cha PAC, Biggie ilikuwa na yeye Lazima Afe, ili kuendelea kutengeneza mkanganyiko kuhusu kifo cha Pac, at that time walitengeneza nadharia tatu, ile ya baby lane, ya Suge na ya Biggie, but katika hizo nadharia ile ya Biggie & diddy ndo ilikuwa na Nguvu sana, Most of Pac's fans kipind kile waliamini kuwa Biggie kahusika moja kwa moja kwenye kifo cha Pac, na kilikuwa ni kitu kibaya kwa career ya Biggie, Biggie had his fans pia, but Pac alikuwa nao wengi sana, so chuki waliyokuwa nayo mashabiki wa Pac kwa biggie ilisambaa na kuota mizizi across the state, nakubali Biggie aliendelea kuhold it down kama kawaida but Biggie's career ilikuwa kwenye tatizo kubwa, Biggie ni mmoja kati ya Black rappers ambao walikuwa na uwezo sana (pac alikuwa analijua hilo) but Biggie aliruhusu Fame imtawale ndo maana alikubali kutumika katika kumuangusha Pac kimuzik but alifail kwa upande ule, Biggie wanted to play a fair battle against Pac, (lyrical battle) na siyo kingine, ni nig's ambao walikuwa wanajuana tangu zamani sana, Pac alikuwa anaumia na kumaind kuona mchiz kawa mwepesi mpaka anatumika kiasi kile, but deep down sidhan kama Pac hated Biggie, Biggie got love kwa Pac, kama angeendelea kuishi angefichua vitu kibao, (he knew alikuwa anaenda kufa nae), na ILIKUWA LAZIMA AFE,

Baada ya kufa kwa Biggie, nadharia kubwa ikawa ni kwamba Pac's camp ndo imelipa kisasi, hii nadharia waliitumia kwasababu ya chuki waliyokuwa nayo Pac's fans kwa Biggie, na kwa upande mwingine Biggie too got tired na ile chuki ambao nig's walikuwa nayo juu yake, me na wewe hatujui but nahis kitu ambacho Biggie alikuwa anakijutia sana ni kuruhusu Fame imtawale na kutumika kirahisi, Suge, Diddy na Biggie wote walihusika katika kifo cha Pac kwa namna moja au nyingine, But kati ya hao wote nadhan Biggie angewageuka siku moja na kuongea kila kitu, baada ya his death 1997, baby lane pia was killed mwaka 1998, ishu ya baby lane ilikuwa imetengenezwa tu ili kuzalisha nadharia nyingine tofauti, but Biggie and Baby lane got killed, Suge and Diddy bado wapo, but you can see hatred ya WC rappers walionayo juu ya Suge, kwangu mimi sidhan kama Suge alimuua Pac but he played a Bigger role katika kifo cha Pac, role ya kina Diddy ilikuwa ndogo sana kulinganisha na ya Suge!

Pac was killed kwa sababu ya UMAARUFU wake na INFLUENCE aliyokuwa nayo kwa vijana (ambao ndo taifa lenyewe), watu walifikiria baada ya miaka 5-6 itakuwaje??? Sahiv ana miaka 25 tu na ameuteka ulimwengu, Je akiendelea kuwepo itakuwaje?? (Ndo maana wanaManipulate hata figures za mauzo ya Albums za Pac worldwide)

I got love for Biggie too, but aliruhusu Fame imchukue, he had to die for that!

I believe Ice Cube angeendelea kuhold it tight kama yule wa 1993 mpka kwenye 80's tusingekuwa Naye pia!
 
Well said man. Biggie hakuhusika na Kifo cha Pac kabisa, ila alijua mchezo uliochezeka. Suge too didn't kill Pac, he just set him up.

Biggie kwangu ni rapper kama hawa wengine tu, telling his day-dreams and fantasies, but he was so great artistically at telling them, word-plays, sickest flows and lyrical abilities were next to none, hands down. But as a man, there's nothing to desire.

Unlike Cube ama rapper mwingine yeyote, Pac alizaliwa kuongoza watu, ana mizizi pia ya harakati na mapinduzi. Na alikuwa smart kinoma, + he had a heart and cojones. Dude was simply more than a rapper, a poet, actor, etc. Kwangu anasimama as one of the greatest men ever, kanifundisha mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…