John Terry Vs Nemanja Vidic, nani alikuwa zaidi?

Embu soma tena nlichoandika mm then compare na comment yko ndio utajua nani amedakia! (Though uandishi wako unaonesha kingereza kwako tatizo, ungeomba utafsiriwe kwanza).....Alafu sio conversion ni conservation.

Sent using Jamii Forums mobile app
Conservation😁😁😁😁 halafu wewe ndo unajua kingereza,utakuwa kwenu wakwanza kusoma wewe
 
Embu soma tena nlichoandika mm then compare na comment yko ndio utajua nani amedakia! (Though uandishi wako unaonesha kingereza kwako tatizo, ungeomba utafsiriwe kwanza).....Alafu sio conversion ni conservation.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msomi ni conversation na siyo conservation😁😁😁😁
 
Unamfanishaje Le Captain wa muda wote na takataka kama Vidic? Uwepo wa Rio Ferdinand na Garry Nevile pamoja na Van Desaa ulimbeba sana Uyo Vidic ..

John Terry atabaki kuwa beki bora kuwahi kutokea kwenye uso wa dunia..

CB moja ya kutisha..

Viva JT..

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Rio na Vidic nan alikuwa captain?
 
Juma Nyoso
 
ni mlevi wa ulanzi pekee ndo anaweza mfananisha kaptein JT 26 na vidic
 
Terry kabwagwa mbali.......aseee ni ushabiki tu hapo......
Hivi Vidic na huyo dogo wa liver Virgil nani zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…