Johnkitime Blog
Member
- Mar 4, 2015
- 13
- 12
Hodi humu ndani, sisi ni blog johnkitime yenye habari za muziki, historia ya muziki wa Tanzania na nchi jirani na pia blog yenye habari picha na vichekesho vya kiswahili. Pia tunatoa elimu ya hakimiliki kwa yoyote atakaekuwa na haja ya kufahamu jambo moja au jingine
Asante sana
Asante sana