Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Baada ya kesi iliovuta hisia za watu wengi kati ya Johnny Depp na ex wake Amber Heard kutolewa hukumu ambayo ilimpa ushindi Johnny, mahakama iliamuru kwamba madai yote ya Depp kuwa mkewe alikuwa anamchafua na kutaka alipwe 10M USD yalikuwa sahihi na kumfanya Deep kuwa mmoja wa wanaume wachache sana USA kushinda kesi za namna hiyo mahakamani.
Hata hivyo Deep amesema kesi hiyo haikuwa kwasababu ya kulipwa hiyo hela bali ilikuwa ni kulinda heshima yake, hivyo hatachukua hata senti moja kutoka kwa ex wake.
Hata hivyo Deep amesema kesi hiyo haikuwa kwasababu ya kulipwa hiyo hela bali ilikuwa ni kulinda heshima yake, hivyo hatachukua hata senti moja kutoka kwa ex wake.