Johnson Mshana ahukumiwa miaka 25 kifungo cha nje kwa kujaribu kuvunja gereza la Halden nchini Norway ili aingie ndani

Johnson Mshana ahukumiwa miaka 25 kifungo cha nje kwa kujaribu kuvunja gereza la Halden nchini Norway ili aingie ndani

Rohombaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
13,067
Reaction score
10,393
Johnson Mshana (28) amehukumiwa miaka 25 kifungo cha nje kwa kujaribu kuvunja gereza la Halden nchini Norway ili aingie ndani.

Mshana ambaye aliachiwa huru mwezi mmoja ulipita kutoka gereza hilo baada ya kutumikia kifungo cha miaka mitatu kwa kosa la uharibifu wa mali kwa makusudi na pia kabla ya hapo alikwisha kutumikia kifungo cha mwaka mmoja gereza hilohilo kwa kosa la kumnyanyasa askari polisi wa kike.

Hata hivyo Mshana amesema hajaridhishwa na huku hiyo hivyo amekata rufaa.
 
Hajaridhishwa?Kwamba anataka;-
-hadi wamfunge miaka zaidi humo gerezani?
-kifungo cha nje hakukipenda/hajaridhia?AU
-wamemuhukumu vibaya kwa kumpa adhabu ya miaka michache atumikie?
 
Anatamani kurudi gerezani kwa hali na mali, ndiyo maana amejaribu kuvunja kuta ili arudi ndani.
Bila shaka kuna kitu amekipenda humo.
 
Anatamani kurudi gerezani kwa hali na mali, ndiyo maana amejaribu kuvunja kuta ili arudi ndani.
Bila shaka kuna kitu amekipenda humo.
Dah..... kwa lokap ya aina hii...ukiwa na uhakika wa kula vizuri na kupambana na baridi kali....nimemuelewa ndugu yake mshana jr 🤣
 

Attachments

  • halden_room_custom-61174435938b90c7b6fa89912ed3a6366e13d17a.jpg
    halden_room_custom-61174435938b90c7b6fa89912ed3a6366e13d17a.jpg
    3.7 MB · Views: 14
Back
Top Bottom