Amejawa na upuuzi na upumbavu mwingi sana na maranyingi sana mada zake hazizidi mistari mitanojohnthebaptist Umewatukana chadema mpaka Moderators wakafuta uzi wako. Jitafakati!
Kwa "heshima" yako humu JF, hukupashwa kuandika kitu kama hiki, to quote you!
CHADEMA kwa kupenda 'mapochopocho' unaweza kukuta kikao cha Rais Mwinyi wamejazana Watanganyika badala ya kuwapa fursa Wazanzibari!
Amejawa na upuuzi na upumbavu mwingi sana na maranyingi sana mada zake hazizidi mistari mitano
Mawazo? ya kejeli? Nikimsema hivyo unayemheshimu kama baba yako, mama, dada, kaka na wengine ha hadhi hiyo utasema ni mawazo yangu?Sasa tusi liko wapi hapo?
Hayo ni mwazo yake na yaheshimiwe