Joho aokoa shoo ya Ali kiba baada ya kubuma huko Mombasa

Sawa mkuu,
Ila napata uzito sana kuamini kuwa kiba hajawahi kujaza show yoyote hata ikifanyikia ndani
sina chuku na Kiba au binadamu yeyote yule..... but mimi baada ya kuona huu uzi, nikaona ni chuk.. nikafuatilia mitandao ya Kenya... nimekuta mpaka magazeti yameandika hivyo..! Chuki inatoka wapi hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu,
Ila napata uzito sana kuamini kuwa kiba hajawahi kujaza show yoyote hata ikifanyikia ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
nikifanya ufanano wa show zake nyingi.. huwa hajazi sana kama mshindani wake Mondi..! Huwa napata shida na sisi mashabiki zake, huwa hatumpi sapoti ya kutosha kabisa..!
 
S
sina chuku na Kiba au binadamu yeyote yule..... but mimi baada ya kuona huu uzi, nikaona ni chuk.. nikafuatilia mitandao ya Kenya... nimekuta mpaka magazeti yameandika hivyo..! Chuki inatoka wapi hapa
Siyo CHUKU ni CHUKI haya andika vizuri toto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…