I AM WHO I AM
Member
- Oct 18, 2012
- 49
- 35
Kwa taarifa yako yeye ndio ana matatizo makubwa sana...Kama unayosema ni Kweli basi ujue huyo Joyce Kiria anapoza msongo mkubwa sana wa mawazo anaopitia.
Ndoa yake inasemekana kwa sasa ni pasua kichwa(Kwa sasa anajiita Single Mother). Na hakuna tena mwanaume wa maana anamtaka, maana ameshakuwa bibi.
Deals zake nyingi za biashara zimebuma vibaya.
Ukishakuwa mtu maarufu unakuwa ni taswira ya jamii yaani jamii inakuangalia wewe unafanyaje!Hivi binadamu mwenzako anakuwaje kioo chako....na jinsi binadamu tulivyo na makandokando[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Du mbona ukimuona Instagram anavyompost mmewe na Watoto full kucheka kumbe acting ile?Kama unayosema ni Kweli basi ujue huyo Joyce Kiria anapoza msongo mkubwa sana wa mawazo anaopitia.
Ndoa yake inasemekana kwa sasa ni pasua kichwa(Kwa sasa anajiita Single Mother). Na hakuna tena mwanaume wa maana anamtaka, maana ameshakuwa bibi.
Deals zake nyingi za biashara zimebuma vibaya.
Kilichoniumiza ni hizo tetesi za ndoa, ameganga wanawake wengi lakini sasa yeye anafeli.
Kwa taarifa yako yeye ndio ana matatizo makubwa sana...
Anajiona kisiki,mropokaji na anakuza mambo.
Anajiita single mom wakati bado anaishi na mumewe.
Wana ugonvi mkubwa na mumewe Kilewo. Wanaishi kama Kaka na dada kwa muda mrefu sasa. Joyce anataka kuchanganyikiw kwa ajili ya ndoa yake. Haya maisha haya
Hakika Mwanamke ukishakua mjuaji sana basi hutakuwa na ndoa hata siku moja.
Huyu bibi ndoa yake na Kileo sidhani kama ipo salama , maana sio kwa ujuaji ule.
Anavunja zaidi ndoa za watu kuliko kuimalisha.
Angalieni watu wote wanaojiita wanaharakati wa Wanawake ndoa zao zikoje? utakuta hana mume au ndoa yake ilivunjika.
Dunia ina mambo sana.Anayejifanya mkufunzi kwa wenzake kumbe nae anamatatizo kuzidi hao anawafundisha.
Ana pretend kuwa ndoa yake ina furaha ili tusiseme kuwa anaganga ndoa za wenzie ilihali yake imemshinda.Du mbona ukimuona Instagram anavyompost mmewe na Watoto full kucheka kumbe acting ile?
Upo sahihi mkuu. ..usilogwe ukaoa mwanamke anayejifanya yeye ni mwanaharakati utajuta kuzaliwa ktk hii sayari. ..!!Hakika Mwanamke ukishakua mjuaji sana basi hutakuwa na ndoa hata siku moja.