Join instruction IFM

Join instruction IFM

Albizo

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
284
Reaction score
208
Kwa wale waliochaguliwa ifm join instruction tayari...
 
tupia humu mkuu kama inawezekana wengine simu hazina pdf mkuu
 
We jamaa nimekufuatilia sana toka enzi za selection TCU, kila kitu unataka uwekewe hapa hata kama hakikuhusu na kama kweli umechaguliwa IFM unashindwa nini kutafuta hard copy? Kuwa makini bwana mdogo, tena ikitokea chuo kingine kimetoa utasema wakuu wekeni hapa wengine simu zetu hazina pdf. Hata kama sio kati ya wale mliochaguliwa kwenye chuo husika.
 
mkuu ninapotoa comment si lazima inihusu mimi sa zingine unaangalia na jamii pia kumbuka nchi yetu ina matabaka tofauti ningeomba urudie kusoma comment yangu tena na kwa umakini zaid
 
Back
Top Bottom