Join instructions za udom jamani!

Naombeni kujuzwa je zimetoka?msaada tafadhari kwa anaejua

huu cjui n uongoz gan usiokuwa mkwel,walisema mwanzon mwa mwez ss inaelekea mwishon,je 2ite uzembe au ?mbona wengine wametoa km mzumbe,udsm nk,why udom ?
 
binafsi nimechaguliwa hapo,ila naanza kuingiwa na mashaka km join instruction inawasumbua je mambo mengine ya hapo chuo itakuwaje.....! ila me navyohic wanataka watoe pa1 na heslb,coz hawa jamaa n vigeugeu xna,ukwel ndo huo,na tar 12 2takutana hapo
 
Kuhusu form msijali, na hilo ni suala dogo sana, cha msingi ushajua unaennda kusoma nin, na college gan, na fee structure washatoa, pia na opening date, hakuna tatzo, hyo form hata ikichelewa hlo lisikupe shida, karbu sana udom.
 
Sio jambo dogo kama unavyodhani,

Tunahitaji admission letters ili tuweze kuendelea na michakato mbali mbali ya kutuwezesha kuja chuoni.

Wengine wanahitaji admission letters waweze kuomba release from employer ama study leave.
Wengine wanahitaji admission letters waweze kupata financial assistance from their organizations/sponsors


Wazazi wanaosomesha watoto wao kwa mkopo wa SACCOS wanahitaji admission letter ya mtoto pamoja na mchanganuo wa gharama za masomo ili wapate huo mkopo.

Hadi hii leo Admission letters hazijatoka wala tarehe na utaratibu wa kuzipata hauko wazi.




Kuhusu form msijali, na hilo ni suala dogo sana, cha msingi ushajua unaennda kusoma nin, na college gan, na fee structure washatoa, pia na opening date, hakuna tatzo, hyo form hata ikichelewa hlo lisikupe shida, karbu sana udom.
 
hakuna kitu ambacho hukujui kuhusu chuo mf. tution fee structure, course unayoenda kusoma unaijua, college utakoishi ushajua, tarehe kufungua chuo unaijua, A/C numbers zote za chuo unazijua. hayo yoote yapo kwenye website ya chuo toka mwezi wa 8. joining instruction haina jipya zaid ya haya zaidi ni kwamba ina jina lako.
kama hujui hayo tajwa juu jipange sana ww sio mfuatiliaji mabo na itaku cost
 

Elewa kwamba watu wanamahitaji tofauti... Kwa mfano mimi ni mfanyakazi na nahitaji joining niombe ruhusa kazini kwangu... Hebu soma comment ya juu yako unaweza kupata kamwanga kidogo.
 
Mmecheke kwenye website ya chuo ALIS (Admission Letters Informartion System)...au mnalalamika tu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…