Invisible
JF Admin
- Feb 26, 2006
- 16,286
- 8,380
Habari...
Ungependa kushirikiana kwa karibu na JF Administration crew? Ungependa kuchangia utaalam wako kwa manufaa ya wengine? Unawazia kuisaidia Jamii kwa kushirikiana na wenzako na kubadilishana utaalam?
Basi tunakuhitaji!
Jamii Forums kama chombo kinachojitegemea ingependa kukupa fursa ya kushirikiana na wenzako kubadilishana utaalam na kukuwezesha kujipatia kipato (kama ukiweza).
Haijalishi ni utaalam gani unao, unahitajika! Kuna mradi mkubwa utaanza karibuni na kwa manufaa yako na jamii nzima basi wasiliana nasi ili tunapoanza mradi huu uwe sehemu yetu!
Utapewa nafasi hata ya kuwa na tovuti binafsi, barua pepe binafsi n.k. Utapewa nafasi ya kukutosheleza kwa kadiri ya mahitaji yako.
Dhamira ni kuwapa fursa wote wenye kuhitaji fursa hizi na kuzikosa kwa sababu moja ama nyingine.
Maelezo zaidi na kwa kina yatakujieni lakini kwa wale wenye dhamira ya kupata nafasi mbalimbali ama wenye nia ya kuwa nasi katika Management wanakaribishwa.
Andika barua pepe kwenda kwa invisible@jamiiforums.com ukitoa ombi, pendekezo la nini wataka kufanya na kivipi na nini wahitaji.
Hili ni tangazo lisilojitosheleza kwa sababu maalum. Wasiliana nasi kwa ufafanuzi zaidi.
Barua pepe zote zitajibiwa!