Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Siku zote akili kubwa haijawahi kufeli .Hawa jamaa ni wabunifu
Shetani hajawahi kumshinda MunguChamaa cha kijani na vibaraka wao watakuja kupinga..mana wao ubunifu ni zero..kazi kuimba mapambio kusifu na kuabudu wapate teuzi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, na ukipenda Dhuruma Mungu anakutupa kwenye kundi la MaCCM = MASHETANI.Ukipenda haki Mungu atakupa akili ya maarifa na hekima''
Chamaa cha kijani na vibaraka wao watakuja kupinga..mana wao ubunifu ni zero..kazi kuimba mapambio kusifu na kuabudu wapate teuzi.
#MaendeleoHayanaChama
Chama si kikundi Cha KijasiliamaliUkosefu wa miradi au vyanzo vinavyoingiza pesa katika Chama ndio sababu chama kila siku kije na mbinu ya kupata pesa.
So, huu so-called ubunifu unatokana na kushindwa kuwa na miradi endelevu ya kuingizia chama mapato|Pesa.
Ila, Ukiangalia kwa umakini hawa CCM au So Called Kijani wana Miradi Mikubwa sana na vyanzo vya kutosha vya kuingiza pesa katika chama(wamejijenga vizuri kiuchumi) Ndio maana hawalii njaa kama CHADEMA.
Viwanja vya mpira vyote ni mali yetu wamevichukua ccm, ngoja katiba mpya ije tutagawana.Ukosefu wa miradi au vyanzo vinavyoingiza pesa katika Chama ndio sababu chama kila siku kije na mbinu ya kupata pesa.
So, huu so-called ubunifu unatokana na kushindwa kuwa na miradi endelevu ya kuingizia chama mapato|Pesa.
Ila, Ukiangalia kwa umakini hawa CCM au So Called Kijani wana Miradi Mikubwa sana na vyanzo vya kutosha vya kuingiza pesa katika chama(wamejijenga vizuri kiuchumi) Ndio maana hawalii njaa kama CHADEMA.
Wkishang'olewa madarakani ndio utajua kama wana miradi au laUkosefu wa miradi au vyanzo vinavyoingiza pesa katika Chama ndio sababu chama kila siku kije na mbinu ya kupata pesa.
So, huu so-called ubunifu unatokana na kushindwa kuwa na miradi endelevu ya kuingizia chama mapato|Pesa.
Ila, Ukiangalia kwa umakini hawa CCM au So Called Kijani wana Miradi Mikubwa sana na vyanzo vya kutosha vya kuingiza pesa katika chama(wamejijenga vizuri kiuchumi) Ndio maana hawalii njaa kama CHADEMA.
Mungu ni mwema sanaCHADEMA mpango wa Mungu ✌🏽✌🏽
HakikaHuu moto hauzimiki
Dr slaa balozi zamani katibu chadema amesema kupitia raia mwema yaleo eti kutembeza bakuli ulaya niswala la kawaida na serikali isichezee Sana hiyo nafasi kwa kutoheshimu mikataba ambayo democrasia ndo kipaumbele ndani ya mikataba hiyo ,nimecheka nikashika kichwaWakati CDM ikichanja mbuga kwa ubunifu wa kutafuta vyanzo vipya na vya uhakika vya mapato, Chama Cha Madeni (CCM) kimebaki na njia moja ya kuiendesha nchi, nayo ni kutembeza bakuli na kuzidi kukopa tu basi.
umeongea ujinga tupu kwann ccm mlikwapua uchaguzi njoo kwanza najibu la uchaguzi uliopita...kwann ufiche ukweli weweUkosefu wa miradi au vyanzo vinavyoingiza pesa katika Chama ndio sababu chama kila siku kije na mbinu ya kupata pesa.