Mungu ibariki CHADEMAUtaratibu huu mpya wa " kuwezesha mambo " ndani ya chama ama waweza kuita kusongesha ni MPANGO MAHSUSI wa kuchangia CHADEMA kwa lengo la kuharakisha ukombozi.
Sasa Kuanzia tarehe 1/03/2022 imeanzishwa jambo linaloitwa ONE MILLION CHALLENGE , huu ni mkakati mdogo ndani ya mkakati mkubwa wa kuhakikisha angalau watu milioni 1 wanachangia angalau Tshs elfu 1 tu , yaani ni hivyo tu .
Zaidi angalia bango hili hapa .
View attachment 2134153
Haha..niko Tukuyu, karibu Laxi MiWewe tangu umefukuzwa Tukuyu akili ni kama zimeruka hivi .
Sidhani kama wengi watakuelewa! Yote uliyoeleza ni 'national security''..miradi inasababisha mgongano wa maslahi kati ya serikali na chama.
..sheria ya vyama vya siasa inatakiwa ipige marufuku vyama vya siasa kuwa miradi ya kiuchumi ili kuepusha uwezekano wa vyama hivyo kuipendelea miradi yake ikiwa vitafanikiwa kushika dola.
..chanzo cha mapato ya chama cha siasa kinapaswa kuwa michango na ruzuku.
..Pia sheria inapaswa kuweka kiwangu cha jjuu ambacho mwananchi au kampuni wanaweza kuchangia chama, na vilevile sheria inatakiwa iweke kiwango cha juu ambacho chama au mgombea anaruhusiwa kutumia ktk kampeni za uchaguzi.
Sio kugawana bali majengo na viwanja vilivyokuwa vya Chama kabla ya 1992 vinapaswa kurudishwa kwa Halmashauri za wilaya, miji au majiji husika maana mali hizo zilikuwa za wananchi woteViwanja vya mpira vyote ni mali yetu wamevichukua ccm, ngoja katiba mpya ije tutagawana.
Ombaomba imezidiSiku zote akili kubwa haijawahi kufeli .
Siku zote akili kubwa haijawahi kufeli .
Ukosefu wa miradi au vyanzo vinavyoingiza pesa katika Chama ndio sababu chama kila siku kije na mbinu ya kupata pesa.
So, huu so-called ubunifu unatokana na kushindwa kuwa na miradi endelevu ya kuingizia chama mapato|Pesa.
Ila, Ukiangalia kwa umakini hawa CCM au So Called Kijani wana Miradi Mikubwa sana na vyanzo vya kutosha vya kuingiza pesa katika chama(wamejijenga vizuri kiuchumi) Ndio maana hawalii njaa kama CHADEMA.
Ombaomba imezidi
mbona sisi hatukwenda Dubai !Ombaomba imezidi
Miradi mikubwa waliyokwapua kutoka kwa wananchi! Vyote ni mali ya walipa kodi wote wa nchi hii!Ukosefu wa miradi au vyanzo vinavyoingiza pesa katika Chama ndio sababu chama kila siku kije na mbinu ya kupata pesa.
So, huu so-called ubunifu unatokana na kushindwa kuwa na miradi endelevu ya kuingizia chama mapato|Pesa.
Ila, Ukiangalia kwa umakini hawa CCM au So Called Kijani wana Miradi Mikubwa sana na vyanzo vya kutosha vya kuingiza pesa katika chama(wamejijenga vizuri kiuchumi) Ndio maana hawalii njaa kama CHADEMA.
Na bado, tunakoelekea bibi ushungi ataomba hadi tende kwa ajili ya wazenji wakati wa mfungoAcha kumsema bibi ushungi.
Wewe tangu umefukuzwa Tukuyu akili ni kama zimeruka hivi .
WIZI MWINGINNE MPYA WABUNIWA NA WEZI WAZOEFUUtaratibu huu mpya wa " kuwezesha mambo " ndani ya chama ama waweza kuita kusongesha ni MPANGO MAHSUSI wa kuchangia CHADEMA kwa lengo la kuharakisha ukombozi.
Sasa Kuanzia tarehe 1/03/2022 imeanzishwa jambo linaloitwa ONE MILLION CHALLENGE , huu ni mkakati mdogo ndani ya mkakati mkubwa wa kuhakikisha angalau watu milioni 1 wanachangia angalau Tshs elfu 1 tu , yaani ni hivyo tu .
Zaidi angalia bango hili hapa .
View attachment 2134153
Changa pesa mamangi wale bataš¤£Nimeshatupia 50,000 elfu huko. Hakikisheni suala la ofisi ya kisasa linatekekezwa, 500m inatosha kabisa kujenga ofisi kubwa ya kisasa.
Aiseeeee !! yaani hilo jamaa lililopigwa kufuli linaonekana zuzu hasa !