casper da vinci
Member
- Apr 12, 2014
- 28
- 3
Wakuu mwenye kujua jinsi ya kupata joining instruction ya Mzumbe anisaidie
Ukimwagiza mtu aliyekaribu akakuchukulie unampa data gani au maelekezo gani ili apewe????Kama ni Mzumbe University, bado. Kama ni Sekondari fika shuleni. Zipo nyingi sana.
niPM kama utahitaji namba za HeadMaster wa Mzumbe