david jacob
New Member
- Jul 16, 2013
- 4
- 0
jaman naomben yoyote ambaye anaju web yoyote ambayo naweza pata basc instruction za minaki au kunipa hayo maelekezo kama vp nchek ktk davidjacob162@gmail.com au 0767967130
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Andaa Tsh 70000 au 35000 kwa ajili ya kuanza kama fee, pesa ya kitambulisho ya shule 10000, pesa ya uniform kama cjakosea 35000, pia andaa pesa ndefu ya matumizi make kuna shida sana ya maji yanafangus na hakuna huduma ya maji salama kwa wanafunzi unless umenunua mwenyewe kwa ajili ya kula.
mkuu acha kumtishia bana!Andaa Tsh 70000 au 35000 kwa ajili ya kuanza kama fee, pesa ya kitambulisho ya shule 10000, pesa ya uniform kama cjakosea 35000, pia andaa pesa ndefu ya matumizi make kuna shida sana ya maji yanafangus na hakuna huduma ya maji salama kwa wanafunzi unless umenunua mwenyewe kwa ajili ya kula.