joining instruction-minaki

david jacob

New Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
4
Reaction score
0
jaman naomben yoyote ambaye anaju web yoyote ambayo naweza pata basc instruction za minaki au kunipa hayo maelekezo kama vp nchek ktk davidjacob162@gmail.com au 0767967130
 
Andaa Tsh 70000 au 35000 kwa ajili ya kuanza kama fee, pesa ya kitambulisho ya shule 10000, pesa ya uniform kama cjakosea 35000, pia andaa pesa ndefu ya matumizi make kuna shida sana ya maji yanafangus na hakuna huduma ya maji salama kwa wanafunzi unless umenunua mwenyewe kwa ajili ya kula.
 

Mkuu kama unayo ungeorodhesha vitu vyote vinavyohitajika au jumla ya pesa ni kama kiasi gani?
 
mkuu acha kumtishia bana!
Minaki aka st Andrews ni shule nzuri
Bweni zuri ni makongoro(kwa wasongo) na mnyapala(watu wa mashamsham)
kuna suala la chokochoko za udini kidogo
Maji yapo lakini kipindi cha ukame utaoga Dar!
Juna bifu la kugombea vimwana na wanajeshi wa kisarawe kama wewe ni kipanga.
Kama ni mtu wa gambe kuna pombe ya mnazi.
Kuhusu fangasi pale ndio nyumbani ikifuatiwa na pugu.
Msosi na uji ni wa kumwaga ingawa kuna siku maharage yanatiwa mafuta ya taa.

Kipindi nasoma nilianzisha dojo club ili kuwa mkakamavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…