J Joselove New Member Joined Feb 7, 2013 Posts 1 Reaction score 0 Jul 16, 2013 #1 Jamani ambaye anaweza kunisaidia maelekezo mafupi ya vifaa na sare za shinyanga seko anisaidie plz maana cku zinasonga 2 af joini cjaipata bado
Jamani ambaye anaweza kunisaidia maelekezo mafupi ya vifaa na sare za shinyanga seko anisaidie plz maana cku zinasonga 2 af joini cjaipata bado
M Mwasi Sospeter Member Joined Feb 18, 2013 Posts 12 Reaction score 1 Jul 22, 2013 #2 Namie nimechaguliwa hapo nipe namba yako kijana.
UGOKO MKAVU JF-Expert Member Joined Jul 20, 2013 Posts 202 Reaction score 78 Jul 22, 2013 #3 #ada , na mahitaj mengine #Suluari 2 nyeusi #shati 2 nyeupe za mikono mifupi #Godoro #Ndoo #tshirt ya bluu ya michezo We nenda na pesa yako ya kutosha vyote hivyo nirivyoviorodhesha utavipata pale pale skul. Huwa wanashinikiza ununue uniform zao. Mimi nilienda na hela tu na kilasket changu cha nguo nikayamaliza yote
#ada , na mahitaj mengine #Suluari 2 nyeusi #shati 2 nyeupe za mikono mifupi #Godoro #Ndoo #tshirt ya bluu ya michezo We nenda na pesa yako ya kutosha vyote hivyo nirivyoviorodhesha utavipata pale pale skul. Huwa wanashinikiza ununue uniform zao. Mimi nilienda na hela tu na kilasket changu cha nguo nikayamaliza yote
M Mwasi Sospeter Member Joined Feb 18, 2013 Posts 12 Reaction score 1 Jul 22, 2013 #4 Duh! Kumbe sare unapewa palepale...!.jaman mie hyo skul wala ciepend/ciitak kabsa maana nackia ni taabu kwel kwel!
Duh! Kumbe sare unapewa palepale...!.jaman mie hyo skul wala ciepend/ciitak kabsa maana nackia ni taabu kwel kwel!