Joining instruction ya Marangu TTC

Joining instruction ya Marangu TTC

Joined
Aug 16, 2014
Posts
58
Reaction score
4
Ndugu zangu mdogo wangu kachaguliwa stashahada ya elimu maalumu msingi chuo cha marangu. Tatizo ni kila akiomba ruhusa anaambiwa apeleke joining instrsction.

Tafadhari mwenye taarifa ya link gani naweza kupata anisaidie kwa tunafungua tar6/10/14
 
Ndugu zangu mdogo wangu kachaguliwa stashahada ya elimu maalumu msingi chuo cha marangu.Tatizo ni kila akiomba ruhusa anaambiwa apeleke joining instrsction.
tafadhari mwenye taarifa ya link gani naweza kupata anisaidie kwa tunafungua tar6/10/14

Huyo mdogo wako yuko form three??
 
nilitaka nipate joining instruction ya chuo cha marangu ttc upande wa stashahada elimu ya msingi
 
alitumia adress ya mtu.na mtu huyo kwa sasa anamwambia yuko nje ya nchi nifanyeje?
nimeingia nacte nikaandika kama nilivyoelekezwa sijaona hiyo kitu please nisaidie wanajamvi walau nione kama hatapewa ruhusa complication za waajili mnazujua
 
ingia Nacte au central admission system usipakue kwa cm maana ni pdf jitahid uangalie kwene cmpter yene pdf reader kumbuka cyo NECTA.go.tz ni NACTE.go.tz kuna utofauti wa E na A
 
ingia Nacte au central admission system usipakue kwa cm maana ni pdf jitahid uangalie kwene cmpter yene pdf reader kumbuka cyo NECTA.go.tz ni NACTE.go.tz kuna utofauti wa E na A

hyo poct ni y mwk jana kk
 
Back
Top Bottom