Vodacom Client
Member
- Aug 16, 2014
- 58
- 4
Ndugu zangu mdogo wangu kachaguliwa stashahada ya elimu maalumu msingi chuo cha marangu.Tatizo ni kila akiomba ruhusa anaambiwa apeleke joining instrsction.
tafadhari mwenye taarifa ya link gani naweza kupata anisaidie kwa tunafungua tar6/10/14
wanajamvi nisaidie dogo akasome
ingia Nacte au central admission system usipakue kwa cm maana ni pdf jitahid uangalie kwene cmpter yene pdf reader kumbuka cyo NECTA.go.tz ni NACTE.go.tz kuna utofauti wa E na A