Joining instruction ya Mbalizi Institute of Health Science

VIKWAZO

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
1,900
Reaction score
581
Salamu ndugu

Wakuu namba msaada kupata joining instruction ya chuo taja, kuna bwana mdogo amechaguliwa kwenya hapo ila jamaa awajatuma join instruction mpaka sasa na chuo kimekaribia kufunguliwa, kwa mwenye nayo anisaidie tafadhali maana hata wizara haina wala NACTE, sasa kufunga safari dar mpaka mbeya kufuata hiyo karatasi inakuwa mtihani kidogo, simu hapo chuoni hawapokei.

Lakini pia kama kuna mwanafunzi/mwalimu wa hapo Mbalizi anayeweza saidia taarifa sio mbaya hata kama hana hiyo joining instruction nikipata maelezo ya ghalama za chuo na accomodation utakuwa mwanzo mzuri

Natanguliza shukurani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…