Naomba mwenye joining instructions ya Institute of accountancy Arusha (IAA) aniwezeshe hapa, au mwenye kujua jinsi ya kuiaccess maana nimeingia kwenye website yao sijafanikiwa kupata, hata kama ya mwaka jana au juzi niione ili kupata mwanga kidogo najua mwaka jana na huu itakua haijabadirika sana.