L Lutera New Member Joined Jun 24, 2011 Posts 3 Reaction score 0 Jun 23, 2014 #1 Mdogo wangu kachaguliwa kwenda Shule ya wasichana Ashira, Nipo Mbeya nashindwa ni namna gani nitapata Joining instructions ili nimuandae. Wadau naombeni mnisaidie kama kuna namna.
Mdogo wangu kachaguliwa kwenda Shule ya wasichana Ashira, Nipo Mbeya nashindwa ni namna gani nitapata Joining instructions ili nimuandae. Wadau naombeni mnisaidie kama kuna namna.
Amon Mtekateka JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 1,225 Reaction score 333 Jun 24, 2014 #2 form zinapatikana kutokana na adress aliyojaza mwanafunzi katika selform kama niya shule itapatkana shule aliyomalza
form zinapatikana kutokana na adress aliyojaza mwanafunzi katika selform kama niya shule itapatkana shule aliyomalza