Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watazitoa kupitia web yao, jaribu kutembelea web mara kwa mara,
by the way, karibu sana udom.
Usijal, kila kitu knaenda pole pole, karbu sana udom.
Hivi ni lazima ulipe ada ya chuo kabla ya kusajiliwa?au ukishalipa direct cost unasajiliwa?
nashukuru mwenyeji,nimechaguliwa Bed-policy,planning and management
Huez sajiliwa, kama hujakamilsha direct cost, na kulpa nusu ya ada kulingana na mkopo wako.
asante mkuu!vp mbona kwnye web yao wanasema malipo yote yafanyikie bank ya CRDB kabla ya sep 30 UKIENDA NAZO CHUON HAWAKUSAJILI/KUZIPOKEA?
Huo mkwara tu, ila kama unazo kalipe, ukienda kulipia chuoni huwa kuna usumbufu sana, watu wanakuwa weng na foleni huwa ndefu
asante mkuu!nitaenda nazo nitavumilia hyo folen coz mpaka kufika trh oct 5 najua nitakuwa nimezpata!Mm naenda kusoma bach.of education in special needs so nadhan tutakuwa college moja
Hongera sana mkuu, nasoma hyo kozi pia, ila ndo naingia mwaka wa pili.