joining udom!

mbugi2013

Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
39
Reaction score
4
jaman tangazo la mchanganuo wa gharama za chuo limetoka lakini binafsi sijajua swala la joining instruction tunazipataje?mwenye kujua utaratibu ulivyo naomba kujuzwa tafadhari.
 
Watazitoa kupitia web yao, jaribu kutembelea web mara kwa mara,

by the way, karibu sana udom.
 
Usijal, kila kitu knaenda pole pole, karbu sana udom.
 
hata me pia nilikuwa na shauku ya kulijua hilo maadam limetolewa ufafanuzi,shukrani sana jaman!!!
 
kuna mtu mgonjwa an operation ananyonyesha bado hayuko poa anataka kuahirisha masomo hapo udom anaomba msaada namna ya kuahirisha masomo
 
Hivi ni lazima ulipe ada ya chuo kabla ya kusajiliwa?au ukishalipa direct cost unasajiliwa?
 
Karbun sana udom,coed. mim nasoma bach. of education in guidance and counseling. (BED GUCO.)
 
Huez sajiliwa, kama hujakamilsha direct cost, na kulpa nusu ya ada kulingana na mkopo wako.

asante mkuu!vp mbona kwnye web yao wanasema malipo yote yafanyikie bank ya CRDB kabla ya sep 30 UKIENDA NAZO CHUON HAWAKUSAJILI/KUZIPOKEA?
 
asante mkuu!vp mbona kwnye web yao wanasema malipo yote yafanyikie bank ya CRDB kabla ya sep 30 UKIENDA NAZO CHUON HAWAKUSAJILI/KUZIPOKEA?

Huo mkwara tu, ila kama unazo kalipe, ukienda kulipia chuoni huwa kuna usumbufu sana, watu wanakuwa weng na foleni huwa ndefu
 
Huo mkwara tu, ila kama unazo kalipe, ukienda kulipia chuoni huwa kuna usumbufu sana, watu wanakuwa weng na foleni huwa ndefu

asante mkuu!nitaenda nazo nitavumilia hyo folen coz mpaka kufika trh oct 5 najua nitakuwa nimezpata!Mm naenda kusoma bach.of education in special needs so nadhan tutakuwa college moja
 
asante mkuu!nitaenda nazo nitavumilia hyo folen coz mpaka kufika trh oct 5 najua nitakuwa nimezpata!Mm naenda kusoma bach.of education in special needs so nadhan tutakuwa college moja

Hongera sana mkuu, nasoma hyo kozi pia, ila ndo naingia mwaka wa pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…