Joint project ya kilimo

Mkuu heshima kwako. Ungefafanua ungekuwa umetusaidia sana tatizo ni nini tufahamishe ndugu yangu.

Uwekezaji ktk kilimo, ni pesa na mda pia kujituma maana mnakwenda shamban direct, product mpaka mavuno, mmoja wapo anaweza kutegea kimojawapo kwa namna yoyote, zarula kibao, au akakwama kipesa gafla. au moja anaweza akawa hajali jali hivi, hapo mmeshaanza na kusitisha hamuwez, ngoma lazima iende mrama nanilazima mlaumiane tu, ikifika kuuza napo huwa ni shida mnaweza kutofautiana uelewa mmoja anataka kuuzia shambani mwingine sokoni, mmoja tumpe dalali mwingine tuuze sisi, mwingine ana mambo mengi mda umembana mwingine yeye nikusimamia mradi kila wakati, hapo ni shiiida tupu, mi ilinishindwa, tulilima matikiti vibarua wa kuweka mbolea wakaweka mbolea vibaya nusu yakakauka wakati mi niliwashauli njia ya kufanya wakakataa, nilichukia sana afu pia bado wakataka tuendelee kugaramika mi nikawaacha ngoma ikawafia kwa kusababishwa na vibarua, mwisho wakakubali nilivyo ulishauri
 
Ahsante mkuu kwa kushare nasi experience nzuri sana nafikiri nitaifanyia kazi hasa wakat wa planning ili kusudi kila mmoja apewe jukumu analoweza kufanya kulingana na uwezo wake pamoja na muda wake.
 
Ahsante mkuu kwa kushare nasi experience nzuri sana nafikiri nitaifanyia kazi hasa wakat wa planning ili kusudi kila mmoja apewe jukumu analoweza kufanya kulingana na uwezo wake pamoja na muda wake.

itakua bora zaidi na itapunguza au kumaliza risk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…