Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Habari wana jf!
Nina imani kuwa humu kuna madaktari na watu wenye ufahamu kuhusiana na mambo mbalimbali ya kitabibu.
Suala ambalo ningependa tujadiliane hapa ni kuhusiana na hili tatizo la viungo vya mwili hasa magoto kwa mara nyingi kuwa vinapiga kelel kama kuni kavu inayovunjwa pale ambapo mtu anapokuwa anakaa chini ama kukuchuchumaa!
Wadau, tatizo hili kitabibu linasabishwa na nini hasa? Je, matibabu yake hasa yakoje?
Mimi nimeshuhudia kijana mdogo tu wa miaka kama 25 hivi akiwa nalo, yani yeye akikaa ama kuchuchumaa basi magoti hupiga kelele kama kuni iliyonjwa kwa nguvu sana!
Tujadili tafadhalini!