Joka Jinga na mahusiano kimapenz na mtoto wa bibi yake je undugu upo mbali au laa?

Joka Jinga na mahusiano kimapenz na mtoto wa bibi yake je undugu upo mbali au laa?

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
476
Nawasalimu Wapendwa,
Naomba niwahusishe tafakari hii,Bwana Joka Jinga ni rafiki yangu na tumekuwa wote na alivyokuwa mdogo aliwahi kujihusisha kimapenz na mtoto wa Bibi yake(Mtoto wa mdogo wake bibi mzaa mama )Je wadau mnaonaje ingawa ulikuwa utoto je undugu hapo mnauonaje upo mbali au karibu.
Mchango wako tafadhali barikiwa
 
Back
Top Bottom