Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Na ripota wetu toka Pwani ya kiwengwa kitongoji cha hasira za mkizi
Mnyambuliko wa habari kuu ni mrejesho wa kutoka huko bush kwa msukuma gangwe
Hasira za mkizi Vs Msukuma gangwe
Mambo ni mengi muda ni mchache..
Kuna adui rafiki
Kuna adui adui
Kuna rafiki adui
Vyote vitatu vinategemea
Nyakati
Mazingira
Maslahi
Historia
Maarejeo
MMalengo
Kwamba kwenye maisha haya kuna adui wa kudumu na rafiki wa kudumu na hakuna adui wa kudumu na hakuna rafiki wa kudumu
Lakini hakuna kinachoumiza kwa marafiki waliokutanishwa na maslahi wakifarakana. Rafiki anapogeuka adui ni mubaya kuliko adui anapogeuka rafiki
Tarehe 20 mwezi wa 2 juma la 5 marafiki waliogeukana wanataka kupondana vichwa na kukatana visigino.. Marafiki katika maslahi binafsi ni marafiki wanafiki.. Kugeukana ni mara moja
Hii ni vita ya panzi shangwe kwa kunguru.. Msukuma gangwe anasema ni kheri jirani mbishi kuliko rafiki wa hasira za mkizi..
Ngoma inogile.. Kule kuchele.. Ni mtifuano wa chini kwa chini wa ndani kwa ndani.. Lakini fukuto likizidi watatoka nje..😂