Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Komredi. Jokate Mwegelo, amesema hivi karibuni watakuwa na mafunzo kwa viongozi wao wa wilaya nchi nzima ili kuendelea kulinda nidhamu ya utendaji na uaminifu katika Taifa la Tanzania kwa vijana wanao aminiwa na Chama au Serikali.
akizungumza kwenye kikao na viongozi wa Chama na Jumuiya ya UVCCM Mkoa wa Iringa mara baada ya kuwasili na kupokea taarifa ya kazi ya UVCCM mkoani humo.
"Tumekuja hapa kuangalia fursa za kuendeleza kituo chetu cha Ihemi na hivi karibuni tutakuwa na mafunzo kwa viongozi wetu wa wilaya nchi nzima."
Jokate amesema lengo kubwa la kuwasili mkoani Iringa ni mpango mkakati wa kuinua kituo cha Ihemi kuwa chachu na fursa zaidi kwa vijana.
Aidha Jokate amewakumbusha vijana wa Chama Cha Mapinduzi, utaratibu wa Chama hicho namna ya kuwasilisha mambo yao na changamoto zao kuwa zinahitaji usiri wa hali ya juu ili kutowapa faida wapinzani kupata la kusemea, nakuwataka wawe wazalendo kwa Chama chao na Taifa kiujumla.