albertt
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 339
- 78
Mwanadada mrembo Jokate Mwegelo afanya uzinduzi wa nguvu wa game lake la simu za mkononi za android na kuwepo playstore na kufanya sherehe ya nguvu.Jina la game linaitwa "Jokate bottle spin" na umati wa Watanzania jana kulipokea vizuri walipotoka kujumuika pamoja kwenye birthday ya mtanashati Millard Ayo hapo juzi.







