Jokate afanya uzinduzi mkubwa wa game lake kwenye Android Playstore (Jokate bottle-spin)

albertt

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
339
Reaction score
78
Mwanadada mrembo Jokate Mwegelo afanya uzinduzi wa nguvu wa game lake la simu za mkononi za android na kuwepo playstore na kufanya sherehe ya nguvu.Jina la game linaitwa "Jokate bottle spin" na umati wa Watanzania jana kulipokea vizuri walipotoka kujumuika pamoja kwenye birthday ya mtanashati Millard Ayo hapo juzi.

 
Hilo game lina faida gani?
 
Hilo game lina faida gani?

Jokate ni mjasiriamali, ana ideas tofauti na watu wengine hii inaweza msaidia. watu wanapenda games, kama hilo game akifanikiwa likapendwa na watu duniani kote akapata million downloads anaweza make millions tshs per day.

Kuna ki game flani cha kipuuzi jina limenitoka kinaitwa sijui .... Bird, kilimfanya aliyekitengeneza akawa anatengeneza more than 50 milions tshs per day kabla hajaamua kuliondoa playstore na istore.

Baaada ya kuliondoa simu za iphone zilizokuwa tayari na hilo game zilianza uzwa bei kubwa mtandaoni.
 

Asante mkuu kwa kunijuza.Kwa hiyo asipopata hiyo million downloads hapati chochote?
Je minimum inatakiwa apate walau downloads ngapi ili aweze kunufaika nalo?
 
Last edited by a moderator:
Hivo mi ni download hiyo sura na chupa?watu wana games za maana kama subway halafu we unakuja kutupia sura yako kwenye android
 
Hivi huyu nae mbona anapenda kufanya vitu vya ajabu ajabu ili mradi auze sura.

Akae na watu wa maana wamshauri vitu/biashara za maana.Sasa hivi anauza ndala 15 sasa huyo mwajuma ndala ndefu atanunua kweli au ndo target market yko hao ma star?
 
Hivo mi ni download hiyo sura na chupa?watu wana games za maana kama subway halafu we unakuja kutupia sura yako kwenye android

Games zinazofanya vizuri kwenye simu ajabu ni games za kawaida, kama angry birds yani zile simple simple. Hizi games za graphics kubwa hazichezi vizuri kwenye models nyingi za simu ambazo zina specifics za kawaida.

Mimi napenda ubunifu wake katika biashara, sio lazima wanawake wote wawe na mabotique, au wafanye catalying atleast anaenda extra miles kidogo thou mwanzo mgumu ila nampa big up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…