Elfu 15 teh teh
Ndio zile aliwagiwa wasanii wenzie
Hizo hizo........
Hhhhhhaaa hongera zKeee
Kidoti Relax hela haitafutwi hivyo,sticky sehemu moja kwanza upate basement,kila sehemu upo wewe mara nywele,mara wachina na bilioni 8,mara ndala haijakaa sawa upo kwenye game khaaaaaaaa.
Namheshimu mtu yoyote anayepambana kwa juhudi zake zote ili aweze kufika pale anapotaka awepo....kumbeza na kumdharau ni kuonyesha ulivyopunguani na mwenzio anazidi kukuacha mbali....
Mbona Bakhresa hamumwambii hivyo
Wale wale.....product line ya bakhresa unaifahamu?Hata hvyo bakhresa akuanza na vitu vyote kwa mara moja,fuatilia utajua
Lakn atlist anajaribu vitu ambavyo nyie hamviwaz. Watu walitegemea aanzishe botiki au auze kanga kwa kukopesha au acheze michezo ya kuzungushiana hela ndo mngeelewa. Ametoka out of ur thinking area nampa hongera sana. Kutoka sio lazma kila mtu afuge kuku au awe mkulima bagamoyo
Heri angefanya sura ionekane ya katuni kuliko hiyo yake halisi
Ngoja nika download kwanza nijionee huo upuuzi
Wale wale.....product line ya bakhresa unaifahamu?Hata hvyo bakhresa akuanza na vitu vyote kwa mara moja,fuatilia utajua
Hata mi mwenyewe namshangaa, mapepe kweli. Linajiona hustler wakati mambo hayako hivyo