Na wewe ushiriki wako hapo uliokuwezesha kutuletea "ushahidi" hapa, ulikuwa upi?
Uliwashikia miguu au?
BTW -Wewe ni mmoja wa wanaume waongo na wambeya wa JF for 2011.
Nitasimamia ukweli daima japo najua unauma.
Nitasimamia ukweli daima japo najua unauma.
Yaani hivyo vidominishani vyako kuna watu wanaviona VINUKA MKOJO.... Level zetu tu ndo zinatufanya tuamue kumuita nani ni nani....Mi nakula totoz za ki Dominican nije nihangaike na hao vinuka mkojo? Hell no.
na wewe ushiriki wako hapo uliokuwezesha kutuletea "ushahidi" hapa, ulikuwa upi?
Uliwashikia miguu au?
Btw -wewe ni mmoja wa wanaume waongo na wambeya wa jf for 2011.
Yaani hivyo vidominishani vyako kuna watu wanaviona VINUKA MKOJO.... Level zetu tu nani ni nani....
Huyu Jokate alishawahi kupigwa mande na wazungu watatu wa ubalozi wa Sweden.
Huyu Jokate alishawahi kupigwa mande na wazungu watatu wa ubalozi wa Sweden.
" THAT IS TOO LOW FOR ME....." kwa maana nyingine diamond sio type ya jokate..! hahahaha!
what an insult..!
Mwanakwetu hebu tupe dossier zaidi ya huyu Irene Ngowi, mmoja wa mabinti wenye heshima, maana wengine ni makapi matupu.Kuna msemo huwa una click kichwani mara nyingi "mwanamke yeyote anaweza kuwa vyovyote!" nafsi yangu huwa sometimes inapinga hili lakini Jokate anaanza kunilazimisha kuamini maneno haya! Binafsi the way nilivyokuwa namuheshimu Jokate inasikitisha anakoelekea huu umaarufu! Anapita njia zile zile za umaarufu usio na staha! Hebu soma hata maandishi yake hapo juu, you can smell something not "that" Jokate we used to know!
Aliyebaki kama mwanadada aliyelinda heshima yake mpaka sasa na ambaye kwangu ni mfano wa kuigwa ni IRENE NGOWI! Huyu binti akiwa ameshinda shindano la face of afrika na kupata pesa na mkataba wa nguvu still alibaki na heshima ya pekee.
Kipindi akisoma Makongo alikuwa anatembea kwa miguu Mwenge mpaka Makongo na kurudi ingawa angeweza kuja na gari! Sketi ya shule ilikuwa ndefu na yenye staha! Aliondoka pale Makongo na heshima nyingi mpaka waalimu wote walimpenda na mpaka leo huyu binti amebaki na heshima yake na maadili ya wazazi wake! Irene Ngowi atabaki kuwa Celebrate wa pekee hapa Tanzania!
Huyu Jokate alishawahi kupigwa mande na wazungu watatu wa ubalozi wa Sweden.
Kwa mujibu wa FB page yake Jokate amejibu issue yake na Wema ya kumchukulia Diamond na nukuu...
"Mie nimpore Wema Diamond, that is too low for me ingawa Diamond alionyesha interest but I have one and only one in my life, Hate me or love me I am not that low"
NAWAKILISHA
Hili bifu sijui Diamond anatuchezea akili ili auze single yake hii /Diamond_-_Nimpende_Nani/
Na katika SHOW huko Uingereza Diamond hivi karibuni alisimamisha show ghafla na kuwaomba mashabiki "Mwamtaka naniiiiii JOKATE ay WEMAAA nichagulieni" watu wakalipukaaaaa JOKATEEEE then akaendelea na song lake hili jipya analomponda WEMA