Jokate ajibu mapigo - Nina wangu

Mdharau mwiba......!?[emoji16]
 
Tunaendelea kufukua makaburi
 
Duh
 
huyu dogo amekuja vibaya sana hawa mabinti watamfilisi mapema atabaki hana kitu badala ya kuinvest pesa yake kwenye vitu vya maana yeye anaanza kuhangaika na vidosho. Nitarudi baadae kidogo
Pole yako
 
[emoji3] enzi hizo kabla ya Paaap!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahah aino daimond kwenye file[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona ,mnafukuaa tuu.............sasa sijui kwasasa nani si type ya mwenzake...nisitie neno
 
huyu dogo amekuja vibaya sana hawa mabinti watamfilisi mapema atabaki hana kitu badala ya kuinvest pesa yake kwenye vitu vya maana yeye anaanza kuhangaika na vidosho. Nitarudi baadae kidogo
Basi upo shehe Yahaya
 
Mwehh!!! Mpumzisheni huyu DC jamani.
Makaburi daily...
 
Naona ,mnafukuaa tuu.............sasa sijui kwasasa nani si type ya mwenzake...nisitie neno
Dah! Internet noma sana. They say 'internet never forget'.
 
Rudia tena hii comment mzee kaka!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…