Jokate: Ali Kiba ndiyo nani???

HATA MI NINGEULIZA KIBA NDO NANI!!

ahahhahahahhahahhaa
 
Yani daaah. Na nasikia jamaa yake anahonga balaa. Miaka mingapi iliyobaki ikiisha Jojo atakua Jack Mengi na yeye kama akicheza vizuri
Duh watu mnaoona mbali hatimae kapewa ukuu bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…