Jokate amuandikia Alikiba Barua kutoka kwenye sakafu ya moyo wake

Ugua pole huenda ulijaribu kete lakin ulishindwa,hayahitaji hasira sidhani kama amekuathiri kwa lolote lile juu ya orodha hiyo
 
Anafunika kwa maneno sababu juzi kasema ukweli wa moyoni, Hasheem ni namba moja kwake.

Amdanganye huyo kiba tu, sio akina us.
 
Hata uwe na kipaji kikubwa kiasi gani kama huna juhudi na nidhamu ya kazi inayoshahabiana na kipaji chako blv m sahau kutokaaa.. huwa na jaribu kumfikiria mark Zuckerberg, michael jordan, the late steve job, the late michael jackson, the late mbaraka munshehe,the late marijani na wengine wengi ambao walikua na vipaji kama wasinge tia juhudi kwenye kuvitumia vipaji vyao sidhani kama tungewajua kama tunavowajua leo... so m nadhani kiba aache kulewa na sifa juu ya sauti na kipaji cha kuimba alichonacho coz hata ndege anasauti na anajua kuimba . .. atie juhud na determination atatusua na sii kufikiri kuwa kua na kipaji ndo kila kitu, na hata fans zake lazima wajue hii kitu
 
Duuuh
 
Usimtilie Diva manani...yule dada huropoka tu.....aliwahi kusema Diamond sio type yake, ndio akaenda kum date GK.
Diva hua ananichekesha sana..eti sio type yangu...so gk ndo type yake.[emoji23][emoji23]
look where aliemtukana diamond is right now!!
 
True mkuu
 
Jokate ni wa kawaida saaana sijui kwanini watu wanampaisha hivyo...haingii kwa mke wangu.
ve sikuamini dah...Huwa sielewi wanawake wazuri wanakwamia wapi[/QUOTE]
Jokate ni wa kawaida saaana sijui kwanini watu wanampaisha hivyo...haingii kwa mke wangu.
Nimewahi muona live mara tatu...na nikanunua vindala flan alikuwa anazunguka navyo maofsin vya kike ili tu kumchora vizuri.....nafikiri ana kismeti tu...ila hamna kitu cha uzuri wa kihivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…