Jokate amuandikia Alikiba Barua kutoka kwenye sakafu ya moyo wake

Nani alikwambia ina makombo? Dunia ya leo, gal wako mwenyewe labda ukamuumbe.

Nani alikwambia ina makombo? Dunia ya leo, gal wako mwenyewe labda ukamuumbe.
Unamanisha nini? kwamba ni sifa kukitembeza kwa wanaume mbalimbali na ovyo ovyo tu japo una man wako mmoja. Na kwanini isiwezekane man kua na gal wake mwenyewe,
hayo ndo matokeo ya kuchukua mtu ambae hana kabisa hofu ya Mung
 
Huyu pia alipendeza mwaka jana.

Huyu pia alipendeza mwaka jana.

View attachment 430723

Hahahahha cocochannel Mungu anakuona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeua bendi hakika .....
yaani nimecheka sina mbavu kwa huu ubunifu wa kwenye barua mimi nilishaona kuwa ni copy and paste ya hali ya juu halafu mtu anaandika maandishi meeengi ati amebuni .... Lakini labda anamaanisha "Ubunifu wa kuiga " maana nao ni ubunifu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Kwi kwi kwiiii

Kweli kabisa ubunifu wa kuiga eeeeh eeeeh

Labda anaona wake wenza wanapewa muda zaidi yake, inabidi ajaribu kujiongeza kwa kudanganya. Ni kama anajua weakness za jamaa, na tour ya nchi anaitaka nae ajipatie pesa. Anampenda Hasheem huku analazimisha kwa AK aendelee kupata nafasi, sababu nae AK hajui anapoelekea.
 
Unamanisha nini? kwamba ni sifa kukitembeza kwa wanaume mbalimbali na ovyo ovyo tu japo una man wako mmoja. Na kwanini isiwezekane man kua na gal wake mwenyewe,
hayo ndo matokeo ya kuchukua mtu ambae hana kabisa hofu ya Mung
Je hao wanaume hapo unawazungumziaje? wengine wameacha wake zao wakamfata Jojo.Tatizo pia hakuna mwanaume ambaye mtu anaweza kumuita wake mwenyewe. Ulitunzie lijitu ambalo badaae likikuoa linasahau thamani uliyomtunzia linaenda kutafuta michepuko. Not fair kuanza kumsakama mtoto wa watu, it takes two people kufanya umal...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…