warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Katika kuonyesha amechoshwa na upweke, mwanamitindo Jokate Mwegelo ' Kidoti' aka BADGIRL JOJO ameibuka na kusema kuwa sasa anasaka mwanaume wa kumuoa huku akitaja vigezo vya anayestahili kumuita mume .
Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi , Jokate alisema kuwa hana ' mtu' ila atakapotokea mwenye vigezo anavyotaka , hatakuwa na sababu ya kumkataa.
"Kwa sasa sina mpenzi wala mchumba, akitokea sina kipingamizi ila mbali na vigezo vingine awe na mapenzi ya dhati na mimi, " alisema Jokate.
Jokate amekuwa msiri sana katika maisha yake ya kimapenzi kiasi cha wengi kuamini ni msichana anayejiheshimu sana ila aliwahi kuwa na uhusiano na mchezaji wa mpira wa kikapu , Hasheem Thabeet anayekipiga kwenye Timu ya Oklahoma City Thunder ya nchini Marekani .